Waombolezaji
wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mwandishi wa Habari za
Michezo wa Gazeti la Uhuru, Amina Athuman walipokuwa wakioutoa nyumbani
kwake Banana, Dar es Salaam leo, kuliingiza kwenye gari tayari
kusafirishwa kwenda nyumbani kwao Lushoto kwa mazishi.
Mwili
wa aliyekuwa Mwandishi wa Habari za Michezo wa Gazeti la Uhuru,
marehemu Amina Athumani ukiombewa dua nyumbani kwake, Banana, Ukonga.
Mwenyekiti
wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania, Juma Pinto
(kushoto) akimzungumzia marehemu Amina kuhusu uchapakazi wake enzi za
uhai wake
Baadhi
ya waombolezaji wakiwemo wanahabari wakiwa eneo la msiba nyumbani kwa
marehemu Amina Athuman, Banana, Ukonga Dar es Salaam
Mwili ukpelekwa kwenye gari
Mhariri
Msanifu Mkuu wa Gazeti la Jambo Leo, ambaye kabla ya kujiunga na gazeti
hilo alikuwa Mhariri Mtendaji wa gazeti la Uhuru,Joseph Kulangwa
(kushoto), na Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo
Tanzania, Juma Pinto wakiwa na huzuni wakati jeneza lenye mwili wa Amina
Athuma likitolewa ndani tayari kusafirishwa kwenda Lushoto. BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI.
Mgane wa marehemu Amina, Towfiq Majaliwa
Ndugu wa marehemu
Kiongozi
wa kundi la wasapu la Waandishi wa Habari za Michezo Innocent Okamwa
(kulia) akimkabidhi Baba mkubwa wa marehemu Amina Athuman, Athuman
Kazukamwe mchango wa rambirambi sh. 600,000 zilizochangwa na wanahabari
wa kundi hilo.Katikati ni mwanachama wa kundi hilo, Somoye Ng'itu.
Kazukamwe akitoa shukrani kwa mchango huo
Sehemu ya waombolezaji
Mgane wa marehemu Amina, Towfiq Majaliwa akifarijiwa na Naibu Mhariri Mtendaji wa gazeti la Uhuru
Wanahabari wakiwa na huzuni. SOURCE: Kamanda wa Matukio Blog.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni