Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo. Mhe. Anastazia J. Wambura (katikati) akizindua Kitabu cha “Utamu wa
Chungwa Sio Rangiye” kilichotungwa na kuandikwa na Mwandishi Chipukizi wa
Vitabu Bi. Rachel Maleza (wa pili kulia). Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya
Maendeleo ya Sanaa katika Wizara hiyo Bibi. Leah Kihimbi na Kulia ni Kaimu
Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Lugha Bibi. Shani Kitogo
Mwandishi Chipukizi wa Vitabu Bi. Rachel Maleza (kulia)
akiongea na Waandishi wa habari kuhusu dhamira yake ya kuandika kitabu kwa
ajili ya lengo la kuelimisha jamii hasa Vijana. Kushoto ni Naibu Waziri wa
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe. Anastazia J. Wambura
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo. Mhe. Anastazia J. Wambura (kushoto) akiongea na Waandishi wa habari
kuhusu umuhimu wa jamii kusoma vitabu vinavyoandikwa na waandishi mbalimbali hususan
rika la Vijana ili wapate kuelimika. Kulia ni Mwandishi Chipukizi wa Vitabu Bi.
Rachel Maleza.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni